-->

Friday, February 9, 2018

SHIRIKA LAKABIDHI MAJENGO MAWILI YENYE SEHEMU ZA MAKAZI 40 KWA BOT MAKAO MAKUU DODOMA

Picha za matukio mbalimbali wakati wa makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC Medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwa ajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya nchi Dodoma yaliyofanyika baina ya taasisi hizi mbili. Majengo hayo yana sehemu za makazi 40 yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.   

Muonekano wa nje wa majengo yaliyokabidhiwa kwa BoT kwaajili ya kuishi wafanyakazi wao. Majengo hayo mawili yenye sehemu za makazi 40 yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.

Uongozi wa BoT ukikabidhiwa sehemu ya tanki la maji yanayotumika kwaaji ya wakazi wa eneo hilo. Makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma yaliyofanyika baina ya taasisi mbili hizo. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Muonekano wa nje wa majengo yaliyokabidhiwa kwa BoT kwaajili ya kuishi wafanyakazi wao. Majengo hayo mawili yenye sehemu za makazi 40 yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC Medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma  yaliyofanyika baina ya taasisi mbili hizo. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.